Monday, June 30, 2008

NAKUPENDA MARIA

ref:Nakupenda Maria
Mama ulie bora
Furaha yangu Maria
Ikae nawe daima
Nipate nema zako
Nifike juu mbinguni

1 Mama mwema Maria
Unikinge unilinde
Unijaze baraka
Ili niwe m..........

2 Uyatulize Mama
Mashaka ya moyo wangu
Neema za mwana wako
Zifariji moyo wangu

No comments: